Water Service
News
DECEMBER
31
2024
Menejimenti ya MORUWASA ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Mha.Tamim Katakweba imefanya kikao cha mwisho wa mwaka na watumishi wa MORUWASA.
DECEMBER
31
2024
ziara ya mafunzo kwa watumishi wa MORUWASA iliyohusisha kutembelea chanzo cha maji cha Bamba.
AUGUST
23
2024
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi MORUWASA, Prof. Romanus Ishengoma pamoja na wajumbe wa bodi hiyo wametembelea na kukagua utekelezaji wa uchimbaji wa visima virefu wenye lengo la kutafiti upatikanaji wa maji chini ya ardhi katika eneo la Dakawa.